Résumé
Tulia ukisikiliza sauti za maumbile. Nje ya dirisha upepo wa baridi unavuma kwenye miti. Mvua inanyesha kimahadhi, na mara kwa mara, sauuti ya radi inaweza kusikiika kwa mbali. Ndani, kuna joto na ni salama, na sauti za hali ya hewa zinakuvutia ulale. Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini. Sauti iliyobuniwa vizuri huunda mazingira ya kutuliza, yanayojulikana pia kama "mazingira", ambayo unaweza kuyaingia mahali popote na wakati wowote utakao.
Auteur
Caractéristiques
Éditeur : Saga Egmont International
Publication : 19 juillet 2019
Intérieur : Noir & blanc
Support(s) : Livre audio [MP3]
Contenu(s) : MP3
Protection(s) : Aucune (MP3)
Taille(s) : 189 Mo (MP3)
Langue(s) : Swahili
EAN13 Livre audio [MP3] : 9788726266566



