Résumé
"Jenny anaamua japo kwa shingo upande kuiza nyumba yake yenye muundo wa mashua ili aweze kufadhili utafiti wa mradi wake wa kianthropolojia nchini Malaysia. Kwa mara ya kwanza hakuna wanunuzi wanoonyesha nia ya kutaka kununua, lakini siku moja akiwa amesimama nje, akiipaka rangi mashua, mwanamme aliyevalia kitanashati anakuja kuiona mashua ile. Lakini si mashua pekee ambayo anaitamani... Anaonekana kuvutiwa sana, na Jenny naye anagundua kuwa amevutiwa sana na mwili wake kuliko pesa zake..." Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Auteur
Caractéristiques
Éditeur : Saga Egmont International
Publication : 11 septembre 2019
Intérieur : Noir & blanc
Support(s) : Livre numérique eBook [ePub]
Contenu(s) : ePub
Protection(s) : Marquage social (ePub)
Taille(s) : 71,7 ko (ePub)
Langue(s) : Swahili
EAN13 Livre numérique eBook [ePub] : 9788726216585



